Uthibitishaji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Katika utarakilishi na mawasiliano, uthibitishaji (pia: uhalalishaji[1]; kwa Kiingereza: authentication) ni tendo la kuthibitisha dai, kama katika utambulisho wa mtumiaji wa mfumo wa uendeshaji.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Tumia kufuli ya skrini kwenye simu yako | Nokia phones. www.nokia.com. Iliwekwa mnamo 2020-11-10.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kiputiputi, O. (2011). Kamusi sanifu ya kompyuta. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, K.602.