Nenda kwa yaliyomo

Usaliti (tamthilia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Usaliti ni tamthiliya ya televisheni kutoka nchini Tanzania inayohusu mapenzi na usaliti iliyoandaliwa na muongozaji Amitabh Aurora na kurushwa hewani mwaka 2010.[1]

  1. Aurora, Amitabh (2010-06-11), Usaliti, Sylvia Arrestus, Bond Bin Sinnan, Pili Pili entertainment, iliwekwa mnamo 2025-08-22