Nenda kwa yaliyomo

Usafiri wa umma Vienna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Usafiri wa umma wa Vienna ni usafiri ndani ya mji mkubwa Vienna, Austria.

Treni za mjini

[hariri | hariri chanzo]
Kituo cha treni za mjini Kagraner Platz

Kuna mistari tano ya treni za mjini (U-Bahn Wien).

  • U1 Leopoldau - Oberlaa
  • U2 Seestadt - Karl Platz
  • U3 Ottakring - Simmering
  • U4 Huetteldorf - Heiligenstadt
  • U6 Floridsdorf - Siebenhirten

Treni za barabara

[hariri | hariri chanzo]
Kituo cha treni za barabara Bugattigasse

Kuna treni za barabara Vienna, zinaitwa Strassenbahn kwa Kijerumani na watu wa Vienna wanasema Bim pia. Zinaendeshwa barabarani na share sehemu na magari, baiskeli na watembea.

Treni za eneo

[hariri | hariri chanzo]
Kituo cha treni za eneo ya mstari S45

Treni za eneo (S-Bahn) zinaendeswa na OEBB (njia ya reli ya Jamhuri ya Austria).

Kuna treki kuu ya treni za eneo (kutoka Meidling mpaka Floridsdorf), hapa mistari wa.S1, S2, S3 wanaendeshwa. S7 inatumia tuneli kuu ya S-Bahn pia, kituoni cha Rennweg inaondoka tuneli na kuendele mpaka Uwajani wa ndege wa Vienna Schwechat na Fischamed.

S45 (Huetteldorf - Handelskai) na S80 (Huetteldorf - Aspern Nord) zinaendeshawa ndani za mji wa Vienna tu.

Treni za mkoani

[hariri | hariri chanzo]

Treni za mkoani (REX, R na CJX wanaendeshwa mkoani.

Mabasi la mji

[hariri | hariri chanzo]

Wiener Linien, Blaguss na Postbus ni kampuni ya basi wanaendeshwa ndani za mji wa Vienna.

Zina namba mbili plus A au B. Kwa mfano 52 A, 52 B. Sio kila Mstari ana A na B pia.

Mabasi la mkoani

[hariri | hariri chanzo]
Basi za mkoani

Kuna mabasi la mkoani, zina namba tatu, na zote zinakaa ilele nyeupe na logo ya umoja wa usafiri wa umma wa eneo mashariki wa Austria (VOR).

Usafiri wa umma usiku

[hariri | hariri chanzo]
Basi la Nightline

Nightline Wien ni huduma za Wiener Linien, usiku Kuna mistari ya basi wanaendeshwa njiani tofauti, namba zake inaongezwa na N ya mwanzo, kwa mfano: N6, N25, N71.

Kwa sababu usiku hamna huduma za reli za eneo Vienna - Badem (Lokalbahn Wien Baden) kuna basi pia inaendeshwa usiku kutoka Vienna Karl Platz mpaka Baden.

Treni za mjini U1, U2, U3, U4 na U6 zinaendeswa usiku kabla ya jumamosi, jumapil na masiku kuu pia. Kuanzia 2019 treni za mkoa S2, S3 na S45 zinaendeswa usiku pia.

Umoja wa usafiri wa umma

[hariri | hariri chanzo]

Mji wa Vienna, Jimbo la Austria chini na Jimbo na Burgenland ni wanachama ya umoja wa usafiri wa umma wa eneo ya mashariki (VOR).

Badilisha kwa usafiri wa masafa marefu

[hariri | hariri chanzo]
Treni za masafa marefu ya kampuni Westbahn
Twin City Liner kituoni cha Vienna, Schwedenplatz

Kubadilisha kwa Usafiri wa umma inawezekana:

Taarifa nyingine

[hariri | hariri chanzo]

Jukwaani la vituo vya treni za mjini na vituo vya treni za OEBB na WLB vyingi kuna Mistari ya watu hawasione.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]