Uongozi kuhusu mazingira
Uongozi kuhusu mazingira (kwa Kiingereza: Leadership in Energy and Environmental Design, kifupi: LEED) ni mpango unaolenga kuhifadhi mazingira kwa kuhusisha watu wengi iwezekanavyo na kwa kuthibitisha kwamba utendaji wao unaendana na ekolojia.[1]
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Uongozi kuhusu mazingira kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |