Najisi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Unajisi)

Najisi ni kitu chochote ambacho ni kichafu na hakifai katika mwili wa binadamu.

Suala la unajisi lilitiwa maanani sana katika Agano la Kale, na hasa katika madhehebu ya Mafarisayo wakati wa Yesu Kristo.