Ukatili wa kisaikolojia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ukatili wa kisaikolojia (wakati mwingine unajulikana kama ukatili wa kihisia, unyanyasaji wa kisaikolojia au ukatili wa kiakili) ni aina ya ukatili ambao mtu mmoja humfanyia mwingine na kuweza kusababisha maumivu katika akili na matatizo ya kisaikolojia, ikiwa ni pamoja na ugonjwa wa wasiwasi au ugonjwa wa mfadhaiko wa baada ya tukio.[1][2][3]

Mara nyingi hujumuisha hali za kukosekana kwa usawa wa nguvu katika mahusiano, dhuluma, na unyanyasaji wa sehemu za kazi.[2][3] Unaweza pia kufanywa na watu wanaofanya mateso, vurugu ya papo hapo au ya muda mrefu, haswa bila utatuzi wa kisheria kama vile mashtaka ya uwongo, imani potofu, na kashfa kali kama vile pale inapofanywa na mamlaka fulani au vyombo vya habari.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Dutton, Donald G. (Summer 1994). "Patriarchy and wife assault: the ecological fallacy". Violence & Victims 9 (2): 167–182. doi:10.1891/0886-6708.9.2.167 . PMID 7696196 .
  2. 2.0 2.1 Dutton, Mary Ann; Goodman, Lisa A.; Bennett, Lauren (2000), "Court-involved battered women's responses to violence: the role of psychological, physical, and sexual abuse", in Maiuro, Roland D.; O'Leary, K. Daniel, Psychological abuse in violent domestic relations, New York: Springer Publishing Company, p. 197, ISBN 9780826111463.  Preview.
  3. 3.0 3.1 Thompson, Anne E.; Kaplan, Carole A. (February 1996). "Childhood emotional abuse". The British Journal of Psychiatry 168 (2): 143–148. doi:10.1192/bjp.168.2.143 . PMID 8837902 .
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ukatili wa kisaikolojia kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.