Nenda kwa yaliyomo

Ukanda wa Aegea

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ukanda wa Aegea

Ukanda wa Aegea (Kituruki: Ege Bölges) ni moja kati ya kanda 7 za Uturuki ambazo zimetengwa kwa ajili ya kuhesabia sensa ya wakazi. Ipo kwenye upande wa mgharibi mwa nchi, imepakana na Bahari ya Aegea (Ege Denizi) katika upande wa kaskazini, kanda ya Marmara katika kaskazini, kanda ya Mediterranea katika kusini na kusini-magharibi ni kanda ya Anatolia ya Kati mashariki mwake.

Ukanda wa Aegea
Milima katika Ukanda wa Aegea

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ukanda wa Aegea kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.