Ujumbe papo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dirisha la ujumbe papo wa Pidgin 2.0.

Katika utarakilishi, teknolojia ya ujumbe papo (kwa Kiingereza: Instant messaging) ni jinsi ya programu inayoruhusu watumiaji mbalimbali kuwasiliana au kuongea mubashara.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).