Nenda kwa yaliyomo

Uhusianifu mkuu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha halisi ya Albert Einstein ya mwaka 1905 hivi.

Uhusianifu mkuu (kwa Kiingereza: General relativity) ni nadharia muhimu sana ya fizikia iliyoundwa na Albert Einstein mwaka 1915. Nadharia hiyo ilileta mapinduzi makubwa katika uelewa wetu wa nafasi na wakati kwa kueleza jinsi mvuto unavyopinda nafasiwakati.[1]

  1. Damour, Thibault (2005), "Einstein 1905–1955: His Approach to Physics", Einstein, 1905–2005, Birkhäuser Basel, ku. 151–182, ISBN 978-3-7643-7435-8, iliwekwa mnamo 2025-08-02

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]

Maandishi asili

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uhusianifu mkuu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.