Uhuru Peak (Pamir)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muonekano wa Milima ya Pamir.

Uhuru Peak (Pamir) ni mlima wenye kimo cha m 7,134 juu ya usawa wa bahari.

Uko kati ya Tajikistan na Kirgizia kwenye milima ya Pamir.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uhuru Peak (Pamir) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.