Ugunduzi na usahihishaji wa makosa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ugunduzi na usahihishaji wa makosa katika picha ya Mona Lisa.

Katika utarakilishi, mawasiliano na usimbaji, ugunduzi na usahihishaji wa makosa (kwa Kiingereza: error detection and correction) ni mbinu zinazotumika kugundua na kurekebisha makosa katika uhamishaji data.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kiputiputi, O. (2011). Kamusi sanifu ya kompyuta. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, K.602.