Ugonjwa wa Charcot

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ugonjwa wa charcot
Ukosefu wa tishu za misuli unaosababishwa na ugonjwa wa Charcot.

Ugonjwa wa Charcot ni moja ya magonjwa ya kurithi.

Hujulikana kama ugonjwa wa Charcot kutokana na jina la Jean-Martin Charcot, mwanasayansi wa neva wa Ufaransa ambaye kwa mara ya kwanza aliielezea kuhusu ugonjwa huu mwaka wa 1869.

Mtu aliye na ugonjwa huu hukosa tishu za misuli na hisia ya kugusa sehemu mbalimbali za mwili wake.

Rod of Asclepius2.svg Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ugonjwa wa Charcot kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.