Ugo
Ugo ni eneo lililozungukwa na ukuta, miti au vifaa vingine vilivyochimbiwa au kujengwa kulizunguka eneo hilo ili kuzuia wasiohusika wasiweze kuingia kwa urahisi.
Katika Kanisa Katoliki nyumba zote za kitawa zinatakiwa na sheria za Kanisa[1][2][3] kuwa na ugo (kwa Kilatini: clausura) kwa lengo la kuzuia hasa watu wa jinsia tofauti ili kulinda usafi wa moyo, lakini pia watu wa jinsia ileile ya wakazi ili kulinda kimya na hali ya sala. Taratibu zake zinatofautiana kadiri ya karama na katiba za shirika husika[4].
Zaidi ya hayo, mashirika ya wamonaki wanawake[5] yanatakiwa kufuata masharti maalumu kuhusu ugo yaliyopangwa na Papahttps://www.vatican.va/roman_curia/congregations/ccscrlife/documents/rc_con_ccscrlife_doc_13051999_verbi-sponsa_en.html.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ VATICAN: Verbi Sponsa - Instruction on the Contemplative Life and on the Enclosure of Nuns
- ↑ The Code of Canon Law, Canon 667 ff. English translation copyright 1983 The Canon Law Society Trust "Code of Canon Law Index". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 19 Juni 2006. Iliwekwa mnamo 17 Juni 2006.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Codex Iuris Canonici Can. 637, § 4
- ↑ Second Vatican Council, Decree on the Adaptation and Renewal of Religious Life, section 7, published on 28 October 1965, accessed on 27 December 2025
- ↑ Saunders, William (2003). "The Meaning of the Terms Nun, Sister, Monk, Priest, and Brother". Catholic Education Resource Center (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2018-05-28.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- What is a Cloistered Nun? – an introduction to contemplative life
- Cloistered contemplative monks – the contemplative men's monasteries
- New Advent Encyclopaedia on Religious Life
- New Advent Encyclopaedia III ff. on Nuns, properly so called
. Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913.
| Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ugo kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |