Nenda kwa yaliyomo

Ugatuzi nchini Zambia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya ugatuzi nchini Zambia.

Ugatuzi nchini Zambia umefanyika kwa kuigawa nchi katika wilaya 116 zinazounda mikoa 10 na kugawanywa katika maeneo-bunge (yaani majimbo ya uchaguzi) kama ifuatavyo:

Mkoa wa Kati (11): Chibombo, Chisamba, Chitambo, Kabwe, Kapiri Mposhi, Luano, Mkushi, Mumbwa, Ngabwe, Serenje na Shibuyunji.

Mkoa wa Copperbelt (10): Chililabombwe, Chingola, Kalulushi, Kitwe, Luanshya, Lufwanyama, Masaiti, Mpongwe, Mufulira na Ndola.

Mkoa wa Mashariki (15): Chadiza, Chama, Chasefu, Chipangali, Chipata, Kasenengwa, Katete, Lumezi, Lundazi, Lusangazi, Mambwe, Nyimba, Petauke, Sinda na Vubwi.

Mkoa wa Luapula (12): Chembe, Chiengi, Chifunabuli, Chipili, Kawambwa, Lunga, Mansa, Mlenge, Mwansabombwe, Mwense, Nchelenge na Samfya.

Mkoa wa Lusaka (6): Chilanga, Chongwe, Kafue, Luangwa, Lusaka na Rufunsa.

Mkoa wa Kaskazini (12): Chilubi, Kaputa, Kasama, Lunte, Lupososhi, Luwingu, Mbala, Mporokoso, Mpulungu, Mungwi, Nsama na Senga.

Mkoa wa Kaskazini-Magharibi (11): Chavuma, Ikelenge, Kabompo, Kalumbila, Kasempa, Manyinga, Mufumbwe, Mushindamo, Mwinilunga, Solwezi na Zambezi.

Mkoa wa Kusini (15): Chikankata, Chirundu, Choma, Gwembe, Itezhi-Tezhi, Kalomo, Kazungula, Livingstone, Mazabuka, Monze, Namwala, Pemba, Siavonga, Sinazongwe na Zimba.

Mkoa wa Magharibi (16): Kalabo, Kaoma, Limulunga, Luampa, Lukulu, Mitete, Mongu, Mulobezi, Mwandi, Nalolo, Nkeyema, Senanga, Sesheke, Shang'ombo, Sikongo na Sioma.

Mkoa wa Muchinga (8): Chinsali, Isoka, Kanchibiya, Lavushimanda, Mafinga, Mpika, Nakonde na Shiwang'andu.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

    Viungo vya nje

    [hariri | hariri chanzo]


     
    Mikoa ya Zambia
    Bandera ya Zambia
    Copperbelt | Kaskazini | Kaskazini-Magharibi | Kati | Kusini | Luapala | Lusaka | Magharibi | Mashariki | Muchinga
    +/-
    Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu.
    Je unajua kitu kuhusu Ugatuzi nchini Zambia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
    Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.