Mto Ugalla

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Ugalla (mto))

Mto Ugalla unapatikana Tanzania magharibi jirani na Mpanda, mkoa wa Katavi.

Ni tawimto muhimu wa mto Malagarasi, mto wa pili nchini kwa urefu ambao unaishia katika ziwa Tanganyika.

Kwa jina lake katika mkoa wa Tabora kuna hifadhi ya misitu na mbuga ya akiba.

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Katavi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.