Nenda kwa yaliyomo

Ufunuo wa pili wa Yakobo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ufunuo wa pili wa Yakobo ni kitabu cha kale kilichoandikwa kwa mtindo wa kiapokalipti lakini hakikukubaliwa kama Neno la Mungu, pia kwa sababu ya mwelekeo wake wa Kignosi. Iliandikwa kwa Kiyunani mwaka 150 hivi na inasimulia kifodini cha Mtume Yakobo Mdogo[1][2][3][1][2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. 1 2 Hedrick, Charles W. (Machi 1981). The Nag Hammadi library in English. San Francisco: Harper & Row. uk. 249. ISBN 9780060669294. Iliwekwa mnamo 16 Februari 2023.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. 1 2 Hedrick, Charles W. "Apocalypse of James, Second". The Coptic encyclopedia, volume 1. Claremont Graduate University. School of Religion. Iliwekwa mnamo 16 Februari 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Brown, S. Kent (Julai 1975). ""Jewish and Gnostic Elements in the Second Apocalypse of James (CG V, 4)" Novum Testamentum Vol. 17, Fasc. 3". Novum Testamentum. 17 (3). Provo, Utah: BRILL: 225–237. doi:10.2307/1560057. JSTOR 1560057.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ufunuo wa pili wa Yakobo kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.