Ufunuo wa Thoma
Mandhari
Ufunuo wa Thoma ni kitabu kifupi cha kale kilichoandikwa kwa mtindo wa kiapokalipti lakini hakikukubaliwa kama Neno la Mungu. Kinadai kusimulia siku saba za mwisho kabla ya kiyama zitakuwaje.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Geigenfeind, Matthias (2020). "The Apocalypse of Thomas: A New Translation and Introduction". Katika Burke, Tony (mhr.). New Testament Apocrypha: More Noncanonical Scriptures. Juz. la 2. Eerdmans. ku. 580–604. ISBN 978-0-8028-7290-6.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Kigezo:Wikisource-inline, translation and commentary by M. R. James in the 1924 book The Apocryphal New Testament
- "Apocalypse of Thomas", overview and bibliography by Tony Burke and Matthias Geigenfeind. NASSCAL: e-Clavis: Christian Apocrypha.
- Codex Clm 4585, at the Bayerische Staatsbibliothek of Munich
| Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ufunuo wa Thoma kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |