Ufunuo wa Samueli wa Kalamoun
Mandhari
Ufunuo wa Samueli wa Kalamoun ni kitabu kilichoandikwa kwa mtindo wa kiapokalipti lakini hakikukubaliwa kama Neno la Mungu. Kwanza kiliandikwa kwa lugha ya Kikopti katika karne ya 10 - karne ya 12, ingawa kinajidai kuwa kazi ya Samueli wa Kalamun.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ufunuo wa Samueli wa Kalamoun kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |