Ufunuo wa Paulo
Mandhari
Ufunuo wa Paulo ni kitabu cha kale kilichoandikwa kwa mtindo wa kiapokalipti lakini hakikukubaliwa kama Neno la Mungu. Kiliandikwa kwa Kigiriki katika karne ya 4 hivi, ingawa kinajidai ni kazi ya Mtume Paulo na kusimulia alivyotembelea mbingu na jehanum. Kiliathiri sana utenzi maarufu wa Kiitalia wa Dante Alighieri "Divina Commedia".
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Wikisource has original text related to this article:
[[:wikisource:Apocalypse of Paul, translation by M. R. James in the 1924 book The Apocryphal New Testament|Apocalypse of Paul, translation by M. R. James in the 1924 book The Apocryphal New Testament]] |
- "Apocalypse of Paul", overview and bibliography by Stephen C. E. Hopkins. NASSCAL: e-Clavis: Christian Apocrypha.
- Bibliography on the Apocalypse of Paul, by Eileen Gardiner
| Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ufunuo wa Paulo kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |