Nenda kwa yaliyomo

Ufunuo wa Kignosi wa Petro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ufunuo wa Kignosi wa Petro ni kitabu cha kale kilichoandikwa kwa mtindo wa kiapokalipti lakini hakikukubaliwa kama Neno la Mungu, pia kwa sababu ya mwelekeo wake wa Kignosi. Iliandikwa kwa Kiyunani kati ya miaka 150 na 300, hasa 200-250, ingawa kinajidai kuandikwa na Mtume Petro ili ashirikishe mafunuo aliyopata kwa Yesu katika Juma kuu.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ufunuo wa Kignosi wa Petro kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.