Nenda kwa yaliyomo

Ufunuo wa Abrahamu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ufunuo wa Abrahamu ni kitabu cha kale kilichoandikwa kwa mtindo wa kiapokalipti lakini hakikukubaliwa kama Neno la Mungu. Kiliandikwa kwa Kiebrania katika karne ya 1 au karne ya 2 (70 - 150)[1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. McDonald, Lee Martin; McDonald, Lee Martin (2017). The formation of the biblical canon. London; New York: Bloomsbury T&T Clark. uk. 139. ISBN 978-0-567-66933-9. OCLC 960090539.
  • R. Rubinkiewicz Apocalypse of Abraham, a new Translation and Introduction in ed. James Charlesworth The Old Testament Pseudepigrapha, Vol 1 ISBN 0-385-09630-5 (1983)
  • P.Sacchi Apocalisse di Abramo in ed. P.Sacchi Apocrifi dell'Antico Testamento Vol 3 ISBN 88-394-0583-6 (1999)
  • J.S. Hernández Valencia, Hombres ciegos, ídolos huecos: fetichismo y alteridad en la crítica de la idolatría del Apocalipsis de Abrahán (Medellín: Fondo Editorial Universidad Católica Luis Amigó, 2023) ISBN 978-958-8943-91-6

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ufunuo wa Abrahamu kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.