Ufa (nomino)
Mandhari
Ufa (Wingi " nyufa") ni mpasuko mwembamba ulioko kwenye kitu bila ya kitu hicho kuachana kabisa. Mara nyingi ufa huwa unatokea kwenye nyumba, mwamba na daraja.
Katika Kiswahili ni maarufu mithali inayosema, "Usipoziba ufa, utajenga ukuta".
Katika jiolojia ni muhimu Bonde la Ufa.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ufa (nomino) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |