Udhibiti wa bunduki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Udhibiti wa bunduki ni sheria au sera zinazodhibiti utengenezaji, uuzaji, uhamisho, umiliki, urekebishaji, au matumizi ya silaha na raia[1].

Nchi nyingi zina sera ya kuzuia silaha, huku sheria chache tu zikiwa zimeainishwa kuwaruhusu[2]. Mamlaka zinazodhibiti ufikiaji wa bunduki kwa kawaida huzuia ufikiaji wa aina fulani tu za bunduki na kisha kuweka mipaka ya aina za watu ambao wanaweza kumiliki silaha. kwa kuwapa leseni ya kumiliki silaha. Katika baadhi ya nchi kama vile Marekani, udhibiti wa bunduki unaweza kupitishwa katika ngazi ya serikali ya eneo hilo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]