Nenda kwa yaliyomo

Udhaifu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Udhaifu (kutoka neno la Kiarabu), kinyume cha nguvu, ni hali ya mwili, ya nafsi au ya roho inayofanya mtu asiweze mambo mbalimbali ambayo yanampasa au yanawezekana kwa wenzake wengi. Unaweza kutokana na ulemavu, ufukara, njaa, tabia mbovu n.k.