Nenda kwa yaliyomo

Uday Prakash

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uday Prakash (alizaliwa 1 Januari , 1952) ni mshairi, msomi, mwandishi wa habari, mtafsiri na mwandishi wa hadithi fupi kutoka Uhindi[1]. Alifanya kazi kama msimamizi, mhariri, mtafiti, na mkurugenzi wa televisheni. Aliandika kwa magazeti makubwa ya kila siku na majarida kama mfanyakazi huru. Pia alipokea tuzo kadhaa kwa mkusanyiko wake wa hadithi fupi na mashairi. Akiwa na Mohan Das alipokea Tuzo za Sahitya Academi mnamo 2011.[2][3] Yeye ndiye mwandishi wa kwanza kurudisha tuzo yake ya Sahitya Academi mnamo 3 Septemba 2015 dhidi ya mauaji ya M. M. Kalburgi ambayo yalisababisha dhoruba ya maandamano ya kitaifa na waandishi, wasanii na wasomi.[4]

  1. Arnab Chakladar. "A Conversation with Uday Prakash, part 4". Another Subcontinent. Uday Prakash: Basically, I see myself as a poet first.
  2. "Sahitya Akademi awards announced". The Hindu. 21 Desemba 2010.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Uday Prakash, M P Veerendra Kumar among Sahitya Akademi Award winners". Net Indian. 21 Desemba 2010.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Jyoti Malhotra (Desemba 24, 2015). "Write to protest". India Today (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-11-25.{{cite magazine}}: CS1 maint: date auto-translated (link)