Uchi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Uchi ni sehemu inayohitaji kufichwa kulingana na utamaduni wa watu au jamii fulani, hasa tupu ya mbele ya binadamu.

Kuacha uchi mtu (kwa mfano mtumwa) kumetazamwa mara nyingi kama kumdhalilisha kuwa si mtu, bali mnyama tu.

Barani Afrika, kuonyesha uchi kwa makusudi ni aina ya laana.

Kwa Wakristo Yesu kufa uchi msalabani ni sehemu ya malipizi aliyoyakubali kwa ajili ya ukombozi wa watu wote.

Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uchi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.