Uche Nnaji
Mandhari
Uche Nnaji ni mwanasiasa wa Nigeria aliyewahi kuhudumu kama Waziri wa Shirikisho wa Ubunifu, Sayansi na Teknolojia kuanzia 16 Agosti 2023 hadi 6 Oktoba 2025. Alijiuzulu wadhifa wake kufuatia madai ya kughushi vyeti.[1][2][3]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Adaji, Daniel (2024-11-11). "World Science Day: Minister restates Nigeria's commitment to innovation, scientific collaboration". Punch Newspapers (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-12-21.
- ↑ "Nigeria-EU initiative to advance technology development – Minister". www.premiumtimesng.com. Iliwekwa mnamo 2024-12-21.
- ↑ Adewumi, Bode (2024-11-06). "Accurate data crucial to driving Nigeria's energy transition process —Minister". Tribune Online (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2024-12-21.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Uche Nnaji kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |