Uchambuzi wa Mtendaji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uchambuzi wa mtendaji unaweza kuonekana kama mbinu ya utunzaji wa mazingira. Maswala ya kimazingira ni magumu wakati wote kwa sababu yanahusisha vyama vingi. Kila vyama vina maslahi, malengo na mikakati. Uchambuzi wa mtendaji unatoa  muundo wa kimahesabu wa vyama na maslahi yao kupata muhtasari.

Badala ya vyama tunaongelea watendaji ambao wanaweza kuwa mmoja mmoja au kikundi kama taasisi, mamlaka ya kiutawala  au taasisi za watumiaji.watendaji wote hawa wanaweza kubadilisha hali iliyopo kwa vipaumbele vyao au mifumo ya thamani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]