Uchakatishaji data
Katika utarakilishi, uchakatishaji data (kwa Kiingereza: data processing) ni utumizi wa kipengee cha data ili kutoa taarifa yenye maana.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).