Uchafuzi wa hewa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uchafuzi wa hewa kutokana na kiwanda.

Uchafuzi wa hewa ni uingizaji wa mata yenye madhara kwa uhai katika hewa inayozingira dunia, hata kusababisha maradhi, vifo na uharibifu wa aina mbalimbali kwa binadamu na viumbe hai vingine, vikiwa pamoja na mazao.[1]

Vyanzo vyake hujumuishwa na vyombo vya moto, viwanda vya kuvuna umeme, viwanda vingine na shughuli za kila siku za nyumbani.

Kwa namna ya pekee uchafuzi huo umefanyika na kuathiri Ulaya, Amerika na maeneo mengi ya Asia.

Uchafuzi wa hewa ni mbaya zaidi mijini ambako umesababisha ongezeko kubwa la madhara ya kupumua kwa wakazi wengi sana.

Kadiri ya ripoti ya mwaka 2014 ya WHO, mwaka 2012 uchafuzi ulisababisha vifo vya watu milioni 7 duniani kote.[2]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Reports". WorstPolluted.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-08-11. Iliwekwa mnamo 2010-08-29. 
  2. "7 million premature deaths annually linked to air pollution". WHO. 25 March 2014. Iliwekwa mnamo 25 March 2014.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.