Nenda kwa yaliyomo

Uchafuzi wa ardhi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uchafuzi wa Ardhi husababishwa kwa kuwepo na kemikali za xenobiotic (zinazotengenezwa na binadamu) au mabadiliko mengine ya mazingira ya asili ya udongo. Kwa kawaida husababishwa na shughuli za viwanda, kemikali za kilimo au utupaji holela wa taka.