Ubaldo Fillol
Mandhari
| Ubaldo Fillol | |
Fillol akiwa River Plate, alikokaa miaka kumi | |
| Amezaliwa | 21 Julai 1950 San Miguel del Monte, Buenos Aires, Argentina |
|---|---|
| Urefu | 1.81 m |
Ubaldo Matildo Fillol (alizaliwa 21 Julai 1950), aliyejulikana kwa jina la utani el Pato ("Bata"), ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka nchini Argentina aliyecheza nafasi ya golikipa. Alishiriki katika makombe ya dunia ya mwaka 1974, (mwaka 1978 ambapo alishinda ubingwa na timu yake na kuchaguliwa kuwa Golikipa Bora) na mwaka 1982 akiwakilisha timu ya taifa ya Argentina. Pia alicheza katika mechi za kufuzu za Amerika Kusini kwa ajili ya kombe la dunia la FIFA 1986, lakini hatimaye hakuchaguliwa kwenye kikosi cha mwisho kilichocheza (na kushinda ubingwa) nchini Mexico. Anachukuliwa kuwa mmoja wa magolikipa bora wa Argentina wa muda wote.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Greatest Argentine Soccer Players of All Time". Soccer Mavericks. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Januari 2024. Iliwekwa mnamo 29 Desemba 2023.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Nacía Ubaldo Fillol: ¿el mejor arquero en la historia del fútbol argentino?, Infobae, 20 Jul 2012
- ↑ Goalkeeping Greats at goalkeepersaredifferent.com
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ubaldo Fillol kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |