Nenda kwa yaliyomo

Ubaguzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mtoto wa Carolina Kaskazini akitumia bomba la maji maalumu kwa Wamarekani weusi mwaka 1938.

Ubaguzi (kutoka kitenzi kubagua) ni utaratibu wa baadhi ya watu kutoa huduma bila usawa kwa msingi tu wa rangi, tabaka, jinsia, umri, kabila, dini, hali ya afya n.k. hata pengine kunyima haki za msingi [1][2].

  1. "discrimination, definition". Cambridge Dictionaries Online. Cambridge University. Iliwekwa mnamo Machi 29, 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "What drives discrimination and how do we stop it?". www.amnesty.org (kwa Kiingereza). Amnesty International. Iliwekwa mnamo 2020-10-13. Discrimination occurs when a person is unable to enjoy his or her human rights or other legal rights on an equal basis with others because of an unjustified distinction made in policy, law or treatment.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ubaguzi kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.