Tymon Tytus Chmielecki
Mandhari
Tymon Tytus Chmielecki Burgaud (alizaliwa 29 Novemba 1965) ni askofu kutoka Polandi na mtaalamu wa kidiplomasia katika huduma ya Vatikani. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Guinée et Mali : Mgr Chmielecki, nouveau nonce apostolique". Zenit (kwa Kifaransa). 26 Machi 2019. Iliwekwa mnamo 7 Juni 2019.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |