Nenda kwa yaliyomo

Tyler Posey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tyler Posey
Tyler Posey

Tyler Garcia Posey (alizaliwa Santa Monica, California, Oktoba 18, 1991) ni muigizaji na mwanamuziki wa Marekani, anayejulikana kwa jukumu lake kama Scott McCall kwenye mfululizo wa televisheni ya MTV Teen Wolf (2011-2017).

Maisha ya mapema[hariri | hariri chanzo]

Posey alizaliwa na mwigizaji / mwandishi John Posey na Cyndi Terese Garcia.

Alikua Santa Clarita, California.

Mama yake, wa asili ya Mexiko, alikufa kwa saratani ya matiti mnamo Desemba 2014.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tyler Posey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.