Nenda kwa yaliyomo

Screen Actors Guild Awards

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Tuzo ya SAG)
Screen Actors Guild Awards

The Actor Statuette
Hutolewa kwa ajili yaKufanya vizuri katika filamu na televisheni kwa wanachamaa wa Screen Actors Guild
Hutolewa naScreen Actors Guild
NchiUnited States
Imeanza kutolewa mnamo1995
Tovuti rasmi

Screen Actors Guild Awards ni jina la kutaja tuzo zinazotolewa kila mwaka na Screen Actors Guild (SAG) kutambulisha au kupambanua kazi zilizofanywa na wanachama wake (yaani, hutolewa kwa ajili ya wanachama wa SAG tu, basi). Kijisanamu kinachotolewa, kinamwonesha mwanaume aliye-mtupu kashikilia visanamu viwili - kimoja cha kuchekesha na kingine cha kusikitisha, kinaitwa Actor.[1] Kina urefu wa inchi 16, uzani wa ratili 12, na ni kalibu ya shaba nzito.

SAG Awards imekuwa moja kati ya sherehe kubwa za ugawaji wa tuzo huko mjini Hollywood tangu mwaka wa 1995.

  1. "Screen Actors Guild Awards: Rules". Iliwekwa mnamo 2010-01-24.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]