Tuzo ya Mwanamazingira bora duniani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo ya mwana mazingira bora duniani ni tuzo ya mazingira inayotolewa kila mwaka na Harvard Medical School Center for Health and the Global Environment kwa raia mwenye juhudi katika kuhifadhi na kulinda mazingira[1].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Hall, C. Michael (2008-09-10). "Food and Wine Festivals and Events Around the World". doi:10.4324/9780080887951.