Tumaini (filamu)
Mandhari
Tumaini ni filamu inayoelezea familia nchini Tanzania ambayo furaha yake iliharibiwa na UKIMWI. Wazazi wa familia hiyo walifariki na kuacha watoto watatu wakijilela wenyewe. Tumaini ni miongoni mwa watoto wa familia hiyo ambaye alijikuta akikua kutoka kuwa mtoto hadi mwanamke huku akilazimika kukua mapema na kuwalea ndugu zake.[1][2]
- Muongozaji: Beatrix Mugishagwe
- Mwandishi: Beatrix Mugishagwe , Brent Quinn
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Mugishagwe, Beatrix, Tumaini, Avodia Bahati, Msamiru Kaabuka, Godwin Kaduma, Abantu Visions, iliwekwa mnamo 2025-08-23
- ↑ Tumaini (2005) | MUBI (kwa Kiingereza), iliwekwa mnamo 2025-08-23