Tullio Moneta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Tullio Moneta
Alizaliwa 9 Mei 1937
Kazi yake Mwigizaji

Tullio Moneta (Fiume, leo Rijeka, nchini Korasya, Mei 9, 1937) ni mamluki na mwigizaji wa Italia.

Aliigiza kwenye filamu kumi na tano kati ya mwaka 1970 na mwaka 1990. Ni nyota kakika filamu The Lion's Share. Pia alikuwa pamoja na Mike Hoare, ambaye ni mshauri wa kijeshi katika filamu The Wild Geese ya mwaka 1978.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tullio Moneta: il mercenario-attore che ispirò “I quattro dell’Oca Selvaggia” (Italian) (12 July 2020). Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-10-09. Iliwekwa mnamo 15 August 2021.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tullio Moneta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.