Uwanja wa michezo wa Tuks

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Tuks stadium)
Uwanja wa michezo wa Tuks

Uwanja wa michezo wa Tuks ni uwanja wa michezo ambao Wakati mwingine unajulikana kama uwanja wa ABSA Tuks kwa sababu za udhamini. Ni uwanja wa soka wa Hatfield Pretoria, na ni uwanja wa nyumbani wa timu ya chuo Kikuu cha Pretoria F.C..[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Stadium. amatuks.co.za. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-09-06. Iliwekwa mnamo 22 November 2015.

[

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Tuks kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.