Nenda kwa yaliyomo

Tucker Carlson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tucker Swanson McNear Carlson

Tucker Swanson McNear Carlson (alizaliwa 16 Mei 1969) ni mchambuzi wa kisiasa wa kihafidhina na mwandishi wa habari kutoka Marekani, ambaye aliendesha kipindi cha mazungumzo ya kisiasa cha kila usiku cha Tucker Carlson Tonight kwenye Fox News kuanzia 2016 hadi 2023.[1]

  1. Lange, Jeva (Aprili 3, 2017). "Tucker Carlson tried to join the CIA". The Week (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Aprili 26, 2022. Iliwekwa mnamo Mei 5, 2022.{{cite magazine}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tucker Carlson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.