Tsandzile Ndwandwe
Mandhari
Thandile 'Tsandzile' Ndwandwe, pia anajulikana kama LaZidze ("binti ya Zwide"), alikuwa Ndlovukati au malkia mkuu wa Swaziland kuanzia Julai 1868 hadi Juni 1875.
Alikuwa binti wa Mfalme Zwide kaLanga, mke mkuu wa Mfalme Sobhuza I, na mama wa Mfalme Mswati II.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Phillip Bonner, Transvaal/Swazi Politics in the Mid-Nineteenth Century, The Journal of African History, Vol. 19, No. 2 (1978), pp. 219–238
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tsandzile Ndwandwe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |