Trollhättan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Trollhättan

Trollhättan ni mji nchini Uswidi. Kuna wakazi 44,498 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1916.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Eneo lake ni 23.80 km². Iko kando ya mto Göta, Umbali na Jiji la Göteborg ni 75 km.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Trollhättan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.