Trizer D. Mansueto
Mandhari
Trizer Dale Dajuya Mansueto ni mwanahistoria wa Ufilipino[1]. Alihitimu Shahada ya kwanza (B.A.) ya Historia na kupata Shahada ya Uzamili ya Historia kutoka Chuo Kikuu cha Silliman, Dumaguete, nchini Ufilipino. Akiwa mwandishi wa vitabu kadhaa, anajihusisha pia na masuala ya makumbusho, tafsiri, na ufundishaji.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Wenceslao: National Geographic's misleading story". Sun.Star Cebu newspaper. 27 Septemba 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 Septemba 2012. Iliwekwa mnamo 16 Februari 2022.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Trizer D. Mansueto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |