Trisagio
Mandhari


Trisagio (kutoka Kigiriki: Τρισάγιον, Trisagion, yaani "Mtakatifu mara tatu"[1]) ni wimbo wa kale sana[2] tena maarufu wa liturujia ya Kimungu na ibada nyingine za Ukristo wa Mashariki, lakini unatumika pia katika Kanisa la Kilatini, hasa katika kuabudu Msalaba wa Yesu siku ya Ijumaa Kuu.
Matini kwa Kigiriki ni: Ἅγιος ὁ Θεός, Ἅγιος ἰσχυρός, Ἅγιος ἀθάνατος, ἐλέησον ἡμᾶς. Hágios ho Theós, Hágios iskhūrós, Hágios āthánatos, eléēson hēmâs.
Kwa Kilatini ni: Sanctus Deus, Sanctus Fortis, Sanctus Immortalis, miserere nobis [3][4].
Tafsiri ya Kiswahili ni: Mungu Mtakatifu, Mtakatifu mwenye nguvu, Mtakatifu usiyeweza kufa, utuhurumie.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Taz Is 6:3
- ↑ "Frankfurt silver inscription" – Oldest Christian testimony found north of the Alps (kwa Kiingereza), Goethe University Frankfurt, 12 Desemba 2024, iliwekwa mnamo 13 Desemba 2024,
The evaluation of the significance of the find by experts for early Christianity and theologians is only just beginning. Some of the formulations contained in the text were not attested until many decades later. For example, at the beginning of the „Frankfurt Silver Inscription" there is a reference to St. Titus, a disciple and confidant of the Apostle Paul. Just like the invocation „Holy, holy, holy!", which was not actually known in the Christian liturgy until the 4th century AD. (Trishagion).
{{citation}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Agios o Theos". The Catholic Encyclopedia.
- ↑ "Trisagium Angelicum". Thesaurus of Latin Prayers.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- "Trisagion Prayer – Legion of Mary".
- "The Eucharistic Holy God (music score)" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 17 Aprili 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Trisagio kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |