Trevor Guthrie
Mandhari
Trevor Dean Guthrie (alizaliwa 11 Februari, 1973) ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, na aliyekuwa mwimbaji mkuu wa kundi la pop soulDecision kutoka Kanada.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Trevor Guthrie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |