Trevor Brooking
Mandhari

Sir Trevor David Brooking (alizaliwa 2 Oktoba 1948) ni mchezaji wa zamani wa soka la kimataifa wa Uingereza, kocha, mchambuzi wa soka na msimamizi wa masuala ya soka. Kwa sasa anafanya kazi kama mkurugenzi wa maendeleo ya soka nchini Uingereza.
Brooking alitumia karibu maisha yake yote ya soka katika West Ham United, akiwa ameichezea klabu hiyo mara 647.
Akiwa West Ham United:
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.worldfootball.net/person/pe52766/trevor-brooking/
- ↑ https://web.archive.org/web/20151121145000/http://www.fifa.com/fifa-tournaments/players-coaches/people=251866/index.html
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Trevor Brooking kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |