Nenda kwa yaliyomo

Toyota Yaris

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Toyota Yaris (Kijapani: トヨタ・ヤリス, Hepburn: Toyota Yarisu) ni gari dogo linalouzwa na Toyota tangu mwaka 1999, likichukua nafasi ya Starlet na Tercel[1].

  1. "トヨタ、「ヴィッツ」を「ヤリス」に改名する理由" [Reason why Toyota renames "Vitz" to "Yaris"]. Toyo Keizai Online (kwa Kijapani). Japan. 2019-10-16. Iliwekwa mnamo 2020-08-08.