Nenda kwa yaliyomo

Toyota RAV4

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Toyota RAV4 (Kijapani: トヨタ・RAV4, Hepburn: Toyota Ravufō) ni SUV ndogo la kuvuka linalotengenezwa na mtengenezaji wa magari wa Kijapani, Toyota. Inajulikana kwa kuanzisha mwelekeo wa SUVs ndogo. RAV4 ni mojawapo ya SUVs zinazouzwa zaidi za wakati wote. Kufikia Februari 2020, jumla ya RAV4 milioni 10 zilikuwa zimeuzwa duniani kote[1] .

Tabnbihii

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Global sales of the Toyota RAV4 reach 10 million units". Toyota Europe Newsroom (kwa Kiingereza). 2020-04-10. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Januari 2022. Iliwekwa mnamo 2022-01-27.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)