Townshend Stith Brandegee
Mandhari
Townshend Stith Brandegee (Februari 16, 1843 – Aprili 7, 1925) alikuwa mwanabotania nchini Marekani. Alikuwa mamlaka juu ya mimea ya Baja California na Visiwa vya Channel vya California. Alifanya kazi pamoja na mkewe Mary Katharine Brandegee katika kukusanya na kusoma mimea ya California.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Townshend Stith Brandegee". Islapedia.org. Iliwekwa mnamo Oktoba 8, 2016.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Townshend Stith Brandegee kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |